Inafahamika wazi kuwa ktk kipindi kigumu kabisa ktk malezi ya mtoto baada ya kile cha kubeba mimba (ujauzito) basi kinachofuata ni eneo la ujana kuelekea utu uzima! (Adolescent to Adulthood)
Kwa kile nikionacho mimi ktk utafiti wangu usio rasmi sehemu kubwa ya walezi au wazazi wameshaanza kushindwa vita hii adimu na muhimu sana kwa mustakabali wa maisha mema wa watoto