Je, waifahamu nchi ya Bhutan iliyopo kati ya China na India? Nchi hii ya kipekee kabisa ilipiga zuio la utalii mpaka ilipofika mwaka 1974. Ni nchi pekee Duniani iliyoweza kupima National Happiness! Zifuatazo ni sifa 16 za nchi ya Bhutan zitakazokuacha kinywa wazi na kutamani kufika huko kufanya...