Kanona tofauti na kate anayejikondesha kila kukicha
Kanona tofauti na kate anayejikondesha kila kukicha
Basi ameuchelewesha,yule kate hata wiki haipiti anaanza kukonda.mfano kwenye harusi ya harry alikua na wiki kadhaa tangu ajifungueBado ana mwili wa ujauzito, sasa hivi atakuwa kimbaumbau! [emoji16][emoji16]
She looks happierKanona tofauti na kate anayejikondesha kila kukicha