Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zitto ana maoni gani kuhusu hili?
View attachment 1154607
HahahahaHahahaha, [emoji23][emoji23]
Aseee watu wanajua utani jamani[emoji23][emoji23]
Hahahaha hatari sana mm pm naomba namba tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha Mkuu Ushimen alijipinda kule pm kwa mtongozo mzito kumbe ni dume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbaya zaidi movie [emoji327] ya mtongozo wote ikawekwa hadharani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TeteteteteSanaa aisee na yeye mwenyewe alisema aliona aibu sana.
Jf ni shidaLini hiyo
JF bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
23:20Jioni iwe njema kwetu wote
Mkuu niajeWalipolianza mwanzo, kulifinyanga dubwana
Walidhani ni mchezo, kwao madhara halina
Sasa ‘mezuwa mzozo, dubwana linawawina
Lishazuwa shinikizo!
Ndio mambo ya jf hayo hahahahahaMchezo wa kutongoza watu usiowajua ni tatizo,
Acha wapambane na aibu, ingawa suala la kutongoza halinaga aibu ila kutongoza kidume mwenzako daaaa, ni janga
Duh!!Zitto ana maoni gani kuhusu hili?
View attachment 1154607
[emoji818][emoji818]