Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3][emoji3][emoji3] nimependa huyo aliyejibu
Hakuna kitu kama hiyo.
Zitto ana maoni gani kuhusu hili?
View attachment 1154607
Hahahaha
Asanteni wadau naona Uzi umekuwa hai tena
Ndio mambo ya jf hayo hahahahaha
Usiku wa kupeana burudani
Ingetokea Chato hii pasingekalika humu! [emoji16][emoji16]