Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwepo wa numbisa, kurejea kwa Kamanda Ngosha the Don kumerudisha makali ya uzi huu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa sasa hapa mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Numby wetu ndiyo injini ya uzi huu. Akipoteaga tu panadoda balaa. Mimi sina impact yo yote hapa japo najua (kama anavyosemaga Jirani), kila mtu ana umuhimu wake...
 
Kila siku kumekuwa kukibuniwa na kufanyika maboresho mbalimbali katika miundombinu ya usafirishaji. Kumeshuhudiwa ujenzi wa barabara za kisasa, reli, viwanja vya ndege au hata kubuniwa kwa baadhi ya aina mpya za usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…