Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23] unaonaje hiyo bro? haki kutumia vyakuka kama matango kukata hamu wakati CHAPUTA wamejaa jf wanasubiri fursa kama hizo wazitumie
Hahahahaha eti lose-ball Daah mzee wa pwani bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daa sawa, ila I still have my doubts! Uliandikaga kitu hapa wakati fulani nikaruka kwenye kiti! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kitu gani hicho poti? Msambwanda hevi ama? Ngozi laini inayong'ara? Tumbo flat? Ukweni kule kwenye madoido? Safari za first class kwenda Sauzi na Yuropu ama? Funguka poti. Sasa kalala [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…