Nipo namtafuta na mimi bro,na muda sasa sijamuonaBro, wapi Shiro?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mimi bado sana,viwango vyenu na mkatalunya mwenzako vimeniacha mbali sana,,Kiwango chako kinatishia amani kambini bro mana ushindani wa namba unakua mkubwa naona ata Mkatalunya nae anakuja vyema, itabidi tuanze kupigana misumari Sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyote tu mnajifaragua kwa vile kiboko yenu hayupo. Kweli paka akiondoka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]mimi bado sana,viwango vyenu na mkatalunya mwenzako vimeniacha mbali sana,,