Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni. Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA. Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli. Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki. Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au...