DUNIANI HAKUNA MWANAMKE HAPENDI KUPEWA na ukimuona huyo ujue wazi ni muongo na ana SIRI NYUMA ambayo muda si mrefu itakuwa wazi, Kwanza mjue jambo moja;
KAMA HUMHUDUMII MWANAMKE NA ANAJUA WEWE SI MGONJWA UJUE AMEKUFANYA KILEMA CHA FIKRA hapo cheo chako ni MTULIZA KITI kwani anajua wewe NI TEGEMEZI na malipo yako kwake ni USAFI WA NYEGEZI.
Ni kitu kigumu sana kwa Mwanamke kutohudumiwa, Yaani kama anaweza kuwa na subra basi HIWEZI KUZIDI MWEZI MMOJA zaidi ya hapo mwenzio aliisha jiongeza na anakuvutia kasi tu siku zako zikitimia UTAJUA KWAMBA UJINGA SIO KUTOSOMA BALI UJINGA NI KUWA TEGEMEZI