cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Haya Hayaaaaa...Mark Msue [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
HahahahahSokoni na mamaake, nilimuona anang'ang'aniana na mdogo wake kapu, sijui anataka chenji ikibaki ajiunge kifurushi? Nilikuonya mapema hukusikia.
Nchi ya sarakasi kila kukicha