Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkatalunya tupo chama moja lakini anapiga sana back pass wakati nimeomba chumba na Beki hazikabi

#msalimiehijabujananimejaribulakinisijamuona
Hahah inabidi unyooshe mkono akucheki,si unajua tena Mkatalunya yupo vizuri kwenye pass za mwisho

#jananilikusomauleujiowakokulenikakuelewa
#kinganapafahamuchimbolakeanalopatikanamudamwingi hahah
 
Hahah inabidi unyooshe mkono akucheki,si unajua tena Mkatalunya yupo vizuri kwenye pass za mwisho

#jananilikusomauleujiowakokulenikakuelewa
#kinganapafahamuchimbolakeanalopatikanamudamwingi hahah
Kumbe Mkatalunya anakufata nyuma nyuma anataka kufumania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ