Hahah![emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
#Aseehuumvutanoni[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Bila kumsahau sterling,Hao mafundi [emoji16]
#Bernado Silva
#Leroy Sané
Hahah!Mkatalunya eehe
#embunitonyechimbolahijabu
Safi sana 😁😁Bila kumsahau sterling,
#Zawadigani[emoji56]
HahahaHahah! Jamaa mnanifurahisha sana leo. Daah
#HuuUzisihami
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njema sana,
#Asanteekwapole
#ntalipatawapi
#Wachanibakinahililisilopumua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#UnafurahiimwenyeweSafi sana [emoji16][emoji16]
Nilimuona jana bro hahaha..mkatalunya alikuwa anafukuzia ile mipira iliyokufa amalizie[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe Mkatalunya anakufata nyuma nyuma anataka kufumania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aisee
Hahaha siku nzuri sana hii,tueme Amen bro[emoji120][emoji120]Hahah! Mzee mwenzangu leo siku yangu inaanza vizuri sana
#Nyiemajamaabhana
#mpakanimekuwaConconotdiluted[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#shauriyako
Sana tu hahahaHahah! Kwamba wadau wanayumba?
#Zawadigani[emoji56]
Wamecheza lini?mbona leo naona ratiba ni spurs vs man uMmepata matokeo ya leo huko?
Full Time...
Manchester United 0 Vs 2 Manchester City
*Bernado Silva
*Leroy Sané
Coleee[emoji38][emoji38][emoji38]Zawadi nyingi sana kwa kuanzia utapatiwa Home kit ya timu yetu
#zawadinyingineunachaguamwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safi sana aisee karibu sana Timu ya vijana
View attachment 1162238
Kabisaa[emoji28][emoji28][emoji28]
#Wazeembempakabasi
[emoji125][emoji125]
HahahahDaah kumbe nilikuwa nafeli
#ngojanifanyetrainingnaMkatalunya
Channel gani nikupe matokeo maana man u anamchapaga siti hadi huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntatafuta twisheni[emoji16]
Niko naangalia marudio ya Mechi Man city na Man U, sijui ya lini hii....