The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Unarusha roho watu wa Man U[emoji51]Mmepata matokeo ya leo huko?
Full Time...
Manchester United 0 Vs 2 Manchester City
*Bernado Silva
*Leroy Sané
Hahah! Furaha ni jambo la msingi sana bro inapotokea lazima kwendanayo sawaHahaha
#ngojatuwekekambikabsahapa
Mkatalunya eehe
#embunitonyechimbolahijabu
Usikonde Mkatalunya nikimgumia sehemu nitakutag [emoji16]
Hahaha naona umeamua kupata usaidiz kwa mkatalunya mwenzako,,huo lazma afanye maajabu kwa pass zake zile,huwa anazipiga na zinanyooka ajabu kama katumia rula[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah!
#Usikondesoonnafanyamaajabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]Channel gani nikupe matokeo maana man u anamchapaga siti hadi huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Sanaaa#Unafurahiimwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wadau wa man u tupo vizuriUnarusha roho watu wa Man U[emoji51]
#MarudiohioJamani
Mlikua mitaa gani huko au chimbo lako la siku zote kwa mama mkwe?Nilimuona jana bro hahaha..mkatalunya alikuwa anafukuzia ile mipira iliyokufa amalizie[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah basi kwenye burigi yangu haipo hio channel[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Hii inaitwa Canal sport1+
🙏🙏 AmeenHahaha siku nzuri sana hii,tueme Amen bro[emoji120][emoji120]
HahahaKabisaa
#angekuakinghadikuchazingelalamika
Coleee[emoji38][emoji38][emoji38]
Hahaha umeenda kufanya nini Msituni huko?Aaah basi kwenye burigi yangu haipo hio channel
#sasanimehamiaburigi
#koromijentaendakusalimiatu
Kweli mwenye upele hapewi kuchaSana tu hahaha
Huyu Man U itabidi awe mchepuko[emoji41][emoji41][emoji41]Hapa Furaha ushindwe mwenyewe
#ishijinalakokuwaUnited
MmmmhCity tayari kashapata Goli
#actually_Citymponjema
Labda mnacheza mara mbili leo 😂😂Wamecheza lini?mbona leo naona ratiba ni spurs vs man u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mwenye upele hapewi kucha
#Endivaisivesaistruu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda mnacheza mara mbili leo 😂😂
Usafiri tayari mzee ila haikua kazi nyepesi, huyu msajiriwa amekua kama Neymar na Barca tuMzee mwenzangu tayali umefanya usajiri[emoji23][emoji23]