na wewe piaaMungu atupe jioni njema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, andaeitini wamefeli, badala ya kufanya kweli wanapeleka vikapu vya maua [emoji23]yani kama sinema za kihindi [emoji23][emoji23][emoji23]
#ngojaniangalietenaNimempeleka maeneo akaone hijab lakini naona Mkatalunya mwenyewe hajazingatia
NB: Na wewe nilikutag usije kuona labda meza inataka kupinduliwa kibabe
na haya ndio malipo yake bro!!Duuuu, kumbe!!!
Malipo ya siasa za kutumiwa
Kushakucha kamanda. Na safari ya kuelekea kaburini inaendelea. Huko kukoje?Kwema kamanda habari ya kuamka
Ishu za kubebana na makontena ya maua wamwachie Poti [emoji16][emoji16]Hahahaha, andaeitini wamefeli, badala ya kufanya kweli wanapeleka vikapu vya maua [emoji23]yani kama sinema za kihindi [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂#ngojaniangalietena
#abiriachungamzigowako hahah
.Toa likes nawe upewe likes comments chochote upate likes hata nukta tu lakini sio picha chafu wala lugha chafu
Hahah! Huyo mtoto wa nyumbaniNamuona kichomi akijiandaa kuianza ligi