Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hii bado ipo bro?yule mwamba na harakat zake za kipindi cha madawa ya kulevya mixer kugombea udiwani pale kino kafikia wapi??Block 41
Hizi ndio zile za Tanga eeh[emoji39]
Block 41 ni hood wameikuta wataiacha, kuhusu jamaa sijajua harakati zake upande wa siasa ila mapambano dhidi ya madawa kama kawaida anaendeleza.....Hii bado ipo bro?yule mwamba na harakat zake za kipindi cha madawa ya kulevya mixer kugombea udiwani pale kino kafikia wapi??
Indeed
Ok sawa bro,shukrani kwa taarifaBlock 41 ni hood wameikuta wataiacha, kuhusu jamaa sijajua harakati zake upande wa siasa ila mapambano dhidi ya madawa kama kawaida anaendeleza.....