myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Shemeji uniq njoo. Kuna ujumbe wako huku [emoji16][emoji16]
Shwari bro,habari za kwako??siku yako inaendaje huko??Niaje bro?
Jana uliona hijab ilivyorudi mjengoni kwake?
#Nimeonaleoumemtembezeaupendowakutosha
[emoji3]
"Kama hamna mikate kuleni keki"
HahahMkatalunya ukipokea pasi kama zile na kuzifanyia kazi unavunga sio unashangila kama ndiyo kwanza una score
#mmadrdistaanafaidihijab
#kamakuokotadodomchanganivile hahaHahah!
Daah umekwiva mzee maana haya maskills unayonipa leo sijapata kuyaona kwa mtu yeyote hapo before [emoji114][emoji114]
#Ndiohivyomzeewakazikaotea
Huku fresh sana bro, siku bado haina tofauti na ile ya jana....Shwari bro,habari za kwako??siku yako inaendaje huko??
Ndio niliicheki bro
#achatunduguyangu
#kumbeuleupendoumeusomakimyakimya haha
ππππ#kamakuokotadodomchanganivile haha
Yeah, kale kamsemo katawatisha kina ningendako .Ni kizungumkuti bro. Nilitaka nirushe kale kakibwagizo kangu ila nikakumbuka mmenikataza [emoji16][emoji16][emoji16]
Semina za ndoa siku hizi ni biashara kubwa. Watu wameacha kuhubiri kuhusu wokovu wamefokasi kwenye mipasho ya ndoa. Wahamasishaji hali kadhalika...Ni vurugu tupu !!!
Inapendeza bro..tumshukuru MuumbaHuku fresh sana bro, siku bado haina tofauti na ile ya jana....
#Kamakawaidasasahivinafatiliasananyendozako
#alafujananilikeshanayoprimeministerTulikuongelea
[emoji3][emoji3]