Kama wewe na binamu mnavyofaidiwakubwaaa mnafaidii
Likes na thanks ni sawa
Hahahahahahhaaa nimeona
mjombaa nimekujaa kusalimiaa nduguu zangu... huku kwani cheusi wetu anapajua ?Mjombaaa
Niaje mjombaa
Unakuja humu kwa kuibia ibia siku hizi, kulikoni? Ni majukumu yamebana ama?Mashaalah
wewe umejisahauu ?Kama wewe na binamu mnavyofaidi
Majukumu mpendwa yamebana hata hivyo siku hizi nimekuwa mvivu kuingia kwenye huu uzi.Unakuja humu kwa kuibia ibia siku hizi, kulikoni? Ni majukumu yamebana ama?
Salama mjombaa,inapendeza kuona upo salama pia,,,mtandao unasumbua hapa nilipo mjombaamjombaa nimekujaa kusalimiaa nduguu zangu... huku kwani cheusi wetu anapajua ?
Uvivu huo unatokana na nini jamani? Ni kwa vile Coco hayupo ama? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Majukumu mpendwa yamebana hata hivyo siku hizi nimekuwa mvivu kuingia kwenye huu uzi.
apoo umetekwaaaaaaSalama mjombaa,inapendeza kuona upo salama pia,,,mtandao unasumbua hapa nilipo mjombaa
Ngoja kidogo[emoji2]