Usijaribu me sitaki vidole vyako vije kuota suguEmbu ngoja nijaribu[emoji13]
Deni likiwa kubwa, Nitabonyeza skip tuUsijaribu me sitaki vidole vyako vije kuota sugu
Hahah! Muda mwingine huwa inabidi kufanya hivyo tu.....Deni likiwa kubwa, Nitabonyeza skip tu
Kweli kabisa inanikumbusha mwanzo mwanzo wa uzi hii aisee ilikuwa hatari sanaUkipotea tu kidogo humu ukirudi unajikuta na madeni kibao
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hahah! Muda mwingine huwa inabidi kufanya hivyo tu.....
Ila nilishawahi kutuma maombi mods watuwekee option ya Auto likes humu naona hawajafanyia kazi [emoji3]