mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaa waganga wangekuwepo naona jiwe lingekuwa kokoto mpka sasa si kwa kukaza kwa vyuma hivi hata grisi inashindwa kufanya kazini nani aliyeniibia comment yangu ya millioni 1 humu ndani?
namuomba ajitaje mwenyewe kabla sijamuendea kwa mganga.
natumai nyote ni wazima wa afya humu ndani
Mamboz