Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna application ya dramania unaipata google sema siku hizi inazingua.Hafu nlkuuliza sehem nayoweza kudowload series za kikorea ukakaa kimya naskia ni nzuri za kizungu nshacheki hadi nmechoka
Ooh nmeijaribu na sure inazinguaKuna application ya dramania unaipata google sema siku hizi inazingua.
ππππππAsante sana mzee wa code, jana uliniumiza sana kichwa
Shwari bro,Usimstress Kggy wangu buana,..
Niaje Bradha?
Hahah! Ilifunguka broππππππ
#SikunuwiaHivyo
#NaaminiIshafunguka
#MshindweNaMlegeeHahah! Ilifunguka bro
#Naonaulikuaunamlengeshakakamkubwa
#kwenyeugonjwawake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
#SikunuwiaHivyo
#NaaminiIshafunguka
Mzima pia, namshukuru Mungu.[emoji3][emoji3] salama Bradha....mzima wewe?
ππππππHahah! Ilifunguka bro
#Naonaulikuaunamlengeshakakamkubwa
#kwenyeugonjwawake
ππππ sikutegemea huu ujio kwa muda huu#MshindweNaMlegee
#HamfaiIndeedWallahiManeLavusiMi