Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sema bro. Ndiyo naenda kumchukua kutoka job!Mutu ya Jakitoo...
Ngoja nije kukubeba tuwawahiHata siwawezi tena...nasubiria tu wkt ujao..
Aaa wapi. Naona kama kuna kiantenna hapo kwa mbali...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mwanamke ana kitambi
Hahahahah ah........ "uniq"Kwako ni nani? Say whaaaaaaat?
Asiyekubali kushindwa.....U were so close....
Nipo humo naelekea mkoa mwingineExpress. Uliwahi panda haya mabasi bageshi?
Haaaah!!![emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji38]Chunguzeni hii picha kwa makini muone
. ukipost picha mtandaon hakikisha unaiangalia mara tano tanoView attachment 536054
Basi ni kadogo dogoAaa wapi. Naona kama kuna kiantenna hapo kwa mbali...
Subiri akija. Cha moto utakiona! Ajabu toto zinampenda na kumpapatikia balaa. Mpaka Carpa akanasa. Imagine. Carpa? Na u-collectiveness na u-jiniazi wote ule akanasa kwa Kichwa Kichafu. Real?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kichwa Kichafu hafai
Ni wanao?
HahahahahahahhaMdogo wangu naona uliifanyia mazoezi sana, toka sokoni mbio mbio hadi umeshinda.Hongera sana [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanaanzaga hivyo hivyo mkuu!Ngoja nianze kupiga story mwenyewe
Halafu eti walisemaga laki si pesa!