Kuna wana wangu wamekuja kunitembelea leo hapa gheto sasa hivi nipo natengeneza kitu, Jikoni leo Usibanduke kwenye Uzi Update kwa picha mpaka natoa Kitu kinawekwa mezani kuliwa, 1: Maandalizi ndio yameanza nachambua mboga ili nipeleke jikoni, Note. Update inaendelea mpaka msosi unaiva.