Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafuta yatokanayo na mboga huwa hayagandi katika damu ndani ya mishipa ya damu tofauti na mafuta yatokanayo na mboga za nyama ambayo huganda na kuzuia damu ndani ya mishipa yetu ambayo husababisha vifo vya kushtukiza.
 
Mboga mboga za majani zina madini muhimu ya sodium kupunguza maji mwilini. Mwili ukiwa na maji mengi unakuwa mnene na mzito kuliko kawaida yake. Kwa hiyo mboga mboga za majani ni muhimu kwa kupunguza maji mwilini na kupunguza uzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…