Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbulula huyo jamaa au anamng'ong'a messi. Messi ni wa barca tu nje ya hapo majanga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unajua nilikuwa naongea na simu mpaka nimeacha nimecheka sana Aiseee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nini kifanyike; Ukiona simu yako haina majina matano ambayo yanachangia kitu chochote kwenye maisha yako basi simu hiyo iweke kwenye maji, au izime kisha utoe betri kwani haina umuhimu wowote kwako.
 
Ila ukweli ni huu, Unachotakiwa kufanya ni kwamba katika maisha yako ya kila siku hakikisha ya kwamba unazungukwa na watu chanya wenye kuchangia jambo fulani katika maishha yako ya kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…