Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Juzi nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya hawa wanaotaka matako makubwa na matumbo yao kuwa tucked in. Wanaenda Dominica kwani kule ni cheap ni $4,000 basi wanapata infections za hali ya juu wengi huishia kulazwa hospitali kwa kipindi kirefu hadi miezi sita. Wachache waliokubali kuonyesha makovu yao tumboni na matakoni yanatisha sana aisee wengine waligoma kuonyesha.

Tena in Trump's voice kabisa. Wanashindilia nyama tu wanasahau mapajani huku kujazia jazia ili angalau pawe na uwiano kidogo [emoji16][emoji16]
View attachment 1172250
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…