Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sis, unashushaga nondo za kipekee sana tena consistently. Kongaratyulesheni kabisa kabisa [emoji122][emoji122][emoji122]
Barcelona imefutilia mbali uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wao wa zamani Neymar, 27, kutoka Paris St-Germain katika dirisha hili la usajili. (Goal.com)
Mmmh kijana mpole umefurah ama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah
Amezengua mno.
Mabaharia wanatumia sana mbinu ya mvinyo[emoji3][emoji3]
#mvinyoNiSumu
Barcelona imefutilia mbali uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wao wa zamani Neymar, 27, kutoka Paris St-Germain katika dirisha hili la usajili. (Goal.com)
Naupenda sana huu wimbo
Kina maringo ya kibrazil kujiona yeye ndo yeye akome. Tamaa mbayaDuh! Na kule PSG kisha nyia kambi, he is not in good terms with majority of his team members.
Mmmh kijana mpole umefurah ama
Fekero kazini
#likeshizihahahaha
Yeah hilo gazeti limeripoti habari ya muda kidogo yupo mbioni kurudi Barca ndiyo mrithi wa The Flea
Ni kaugonjwa flan hiviHivi kwanini watu wanafanya hivyo kuwa na id zaidi ya moja ???
#mimisiwezinaonanikamautoto
Ni kaugonjwa flan hiviHivi kwanini watu wanafanya hivyo kuwa na id zaidi ya moja ???
#mimisiwezinaonanikamautoto
Ni kaugonjwa flan hivi