Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

West Ham wanapania kumsajili mchezaji wa tano kabla ya dirisha la usajili kufungwa lakini hawana mpango wa kumsaini mlinzi wa zamani wa Chelsea na kiungo wa kimataifa wa England Gary Cahill, 33. (Football.London)
 
Atakuwa na wakati mgumu, lakini kama atacheza ball ⚽️ la uhakika na kuifanya PSG iendelee kung’ara kwenye ligi ya Ufaransa na UEFA anaweza kupendwa tena na kujitengenezea soko zuri tena kwenye dirisha la usajili la December/January. Na Samatta wetu naona mambo hayajatengemaa kule Premier League.

Kina maringo ya kibrazil kujiona yeye ndo yeye akome. Tamaa mbaya
 
Itakua maana wachezaji wa PSQ wana kaubinafsi kiaina kila mmoja anajiona staa na kila mmoja anataka aonekane yeye ndie anaibeba timu hivyo neymar ana kazi ya ziada.

Bado sana kwa mtanzania kucheza EPL. Samata ana soka tatizo nae ana katabia ka kitanzania maneno mengi vitendo haba
 
Bora ajirudie Belgium kama hakuharibu kabla ya kuondoka.

Mchezaji wa Ufaransa na Manchester United Paul Pogba anahofia huenda akashindwa kuelekea Real Madrid huku mabingwa hao wa Uhispania wakikabiliwa na dau la £270m kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kutoka Manchester United. (Sunday Mirror)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…