Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Mambo mtelezo leoSiku hizi majanga hawa jamaa
Huyu dogo anajua sana,ntashangaa kama msimu huu ataendelea kubaki AjaxManchester United wamewasilisha ombi la dau la £46m kumsajili mchezaji wa Ajax mwenye umri wa miaka 22 na raia wa Brazil David Neres. (Yahoo - in Portuguese)
Jamaa anazuga tu lakini si ajabu mtambo uko on hata anachokiongea hakijui [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo Bradhee hapo nyuma atakuwa ni SYB. Kwani maongezi yake na huyo dada mwingine anafanya maigizo tu, Medula Oblangata yake yote iko kwingineee! [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa anazuga tu lakini si ajabu mtambo uko on hata anachokiongea hakijui [emoji16][emoji16][emoji16]
Haya mambo ni magumu
Habari yenu. [emoji112]