Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππππHatari sana haya mambo.
#HiiKituHiiKituHiiKituHiiii
Kayumba sana sio siri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao jamaa na ngoma yao ya hii kitu lakini kama kweli huyo Binti kazingua sana
AiseeeKaranga zitaanza kuadimika soon [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1173352
Kama hawavunji sheria sio mbaya broHivi kwanini watu wanafanya hivyo kuwa na id zaidi ya moja ???
#mimisiwezinaonanikamautoto
Bro ulikua katika mikakati ya kutaka kumuona binti mpole huko mitandaoni sio?M-google uone.
Niliiona nikakausha tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee
#SYBasionehii
Mafua yamekuachia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kumekucha....Kumekuchaje?
View attachment 1173416
Ofukozi nimezingatia bro sasa nipo poa kimtidoMafua yamekuachia?
Ulizingatia ule ushauri wangu ambao kijana wa Nyalandu alikuwa anaupinga kwa nguvu zote?
Huku kwema...Ofukozi nimezingatia bro sasa nipo poa kimtido
Vipi Habari za Asubuhi?