Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

U
Vipi magoli yasipotokea unakua sio mpira?

Nipo poa aisee namshukuru Mungu, Vipi hapo Burigi wanyama wapya wameshapazoea?
Utamu wa mechi magoli bana hata wagumu wanafahamu hili aah wee king bana bila magoli utakuwaje bora na bingwa

Aisee wanyama bado wanapewa elimu ya kutuelewa na kuwa bora zaidi mbugani
 
Kisha anza kusugua mikono taratibu unaweza kutumia kitambaa laini ila unachotakiwa kuhakikisha unasafisha hadi sehemu za katikati ya vidole baada ya hapo suuza mikono yako na ufute kwa taulo halafu paka lotion ya mikono.
 
KUMEKUWA na sababu mbalimbali zinazofanya watu kutokuwa na ngozi zisizokubalika.Mbali na hali ya hewa pia matumizi ya pombe na sigara hata matumizi ya cream kali ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila kujua madhara yake kumechangia kwa kiasi kikubwa tatizo hilo.
 
Ngozi kwa kawaida inatakiwa ijitengeneze yenyewe na si kuitengeneza kwa vipodozi kama wengi wanavyodhani. Ulaji wa matunda na mboga za majani kwa wingi kunywa glasi nane za maji kwa siku ni njia nzuri kama unataka kuwa na ngozi nzuri isiyo na madoa wala ukavu ambao haupendezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…