moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salama kabisaMambo vipi hapa
✔✔Usiku wa likes
Wewe umeshaacha kumbana dada yetu na kumnyima uhuru hata wa kuja hapa kuwa anatusalimia? Mahari ulishamaliza kutoa? Shule ulishamaliza? Hebu niwache miye [emoji36][emoji36][emoji2221][emoji2221]Shemeji hujaacha tuu
Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando. Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA. Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,. Jamaa kanitumia link...www.jamiiforums.com
Kwa nini ulitaka kutunisha misuli? We si una jimbo lako la kudumu wewe tena umelichukua kwa wenyeji majuzi juzi tu hapa?[emoji3][emoji3][emoji3]
#halafuHiloJimboSikujuaKamaLako
#kidogoTutunishianeMisuli
Ninge walishamliza hawa jamaa wa bundle [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi ndivyo nilivyotapeliwa hapa JF kijinga
Siku ya Jana kuna mdau hapa Jf Jina limenitoka kidogo alikuja na uzi wa kuuza bandle nafuu zijulikanazo kama supa bando. Number yake ya simu ya mkononi ni 0620 434 183. SIMON MSUYA. Dili lilikua nipewe GB 10 kwa Tshs6,000. Nikaona kwani 6k kitu gani ngoja nitume tu,. Jamaa kanitumia link...www.jamiiforums.com
Jamaa yuko deep sana....Farasi jana aliniacha hoi na mfano wake wa wedding vs welding[emoji3][emoji3]
Sijui kama uliona.