moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante sana bro...
Nashukiwa wapi bro??sokota ama?[emoji16]Wadau wote karibuni nyumbani tufurahie EidView attachment 1179140
Nashukiwa wapi bro??sokota ama?[emoji16]
Aifoni ya ankoo haipatikani[emoji16][emoji16]Temeke mikoroshini, mtafute andjul atakuleta
Mpendwa nakusubiri.
Mpendwa huwezi amini Capitalpool hajatokea, Nakumbuka niliwakaribisha wote wapendwa wangu wa like naomba ukaribie kwetu Vingunguti kiembe mbuzi.Asante sana bro...
Tupo Tanga bro...leo biriani kama lote[emoji16][emoji16]..karbu sana
Huyo mpendwa Hawachi niliona jana amempa mwaliko capitalpool
Nawe pia Numbisa karibu dear ππEid njema wote