Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Asante. Huku burigi eneo nilipo kila kona harufu ya pilauNawe pia Numbisa karibu dear ππ
Sijui Bradha anamzungumzia Hawachi yupi huyo wa Tanga!?Asante sana bro...
Tupo Tanga bro...leo biriani kama lote[emoji16][emoji16]..karbu sana
Huyo mpendwa Hawachi niliona jana amempa mwaliko capitalpool
Eid njema wote
Uwe na siku njema pia BradhaAhaaa, wakatalunya kimsingi wapo Barca sema wengi wao tupo Man city hivyo ondoa shaka, utakua kwenye mikono salama.
Uwe na siku njema hapo.