Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ai swea, huyu lazima atakuwa Mhaya. Case closed [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
IMEI kwa kirefu chake ni ‘International Mobile Equipment Identity‘ ambapo kwa haraka haraka ni namba ambazo zinakuwa kama utambulisho wa kifaa na katika simu, mara nyingi zinakuwa na tarakimu15. Namba hizi huwa hazifanani na zinakuwa katika kifaa kimoja tu.
 
Hayo yote yanawezekana kama ukiwa na simu yako. Vipi sasa ikiwa simu yako umeipoteza au imeibiwa? utafanyaje?

Jinsi ya Kupata IMEI Ya Simu yako iliyoibiwa au uliyoipoteza
Kama huna simu yako karibu kwa maana kwamba imeibiwa, unaweza ukapata IMEI kwa kutumia Find my device kwa wale wa Android na Find My Phone kwa wale wanaotumia Apple.
 
Aifoni ya ankoo haipatikani[emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pitia mitaa ya vetinari au katishia vichochoro vya Ndalala achana na vikona kona vya kilabuni ila usifike daraja la Tazara... Njia rahisi zaidi ni kupitia kata ya 14...
Njia ya kushukia (achana na kichochoro cha Wah...a) Sokota unaijua vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…