Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I think the hardest thing in the world is having to admit to yourself that you're the one to blame for everything that's wrong with your life. But the reason that it’s the hardest thing in the world is because it’s also the scariest thing in the worldβ€”because people don't tend to live very long after they finally realize that the call is coming from inside the house.
 
Adrian mwenye umri wa miaka 32 aliachana na Westham msimu huu baada ya kudumu kwa misimu sita, anatarajia kukutana na Chelsea katika kombe European Super Cup wiki hii huku pia kushika nafasi hiyo kwa takribani wiki sita mpaka nane kutokana na majeraha ya Allison.
 
Napenda kuwaweka wote lakini tatizo letu hatuna wachezaji ambao wamekuwa kupitia katika hii klabu, yupo mmoja tu, kikosi chetu cha Ligi ya Mabingwa tunatakiwa tuwe na wachezaji 22 na makipa watatu, hicho ndicho kitu ambacho kinatulazimisha kufanya maamuzi japo hatutaki,"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…