Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Asante Cole..
Sikukuu inaendaje mitaa yako?
Mitaa yangu hamna sikukuu kabisa bwana!Tulivu kabisa, na shushia na maji sijui hiyo mitaa yako ???
Kwani tecno sipo kwenye Android ama?Hii inafanya kazi hata kwa TECNO? [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu barabaraniNdiyo unatoka huko unakuta bae wako kajifunga kanga ya hivi. Jizazi [emoji7][emoji7][emoji7]
Mitaa yangu hamna sikukuu kabisa bwana!
Ni siku ya kazi tu kama kawaKwanini Hamna???
Ni siku ya kazi tu kama kawa
Apple kuzibania apps za Facebook, WhatsApp na apps nyingine mbalimbali kwenye iPhone katika uamuzi unaoonesha kuziathiri apps nyingine nyingi.
Senkyuuu...Sawa ni vyema Endelea kujipambania, na karibu tena hapa jamvini (tulikukumbuka).[emoji4]
Fraggy you were missed [emoji4][emoji4]πππ
Hadi nakuonea huruma wakija pamoja na TRM[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]....
Nawasubiri kwa hamu...
Niliwamissi pia...Fraggy you were missed [emoji4][emoji4]