Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Ankooo,i miss u
 
 
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda ametangaza mpango wa kuzisajili ndoa zote jijini Dar, ili kuwasaidia wanawake wanaorubuniwa na waume za watu. Amesema ofisi yake itaandaa 'database' maalumu ambayo itasajili ndoa za watu wote waishio Dar, na ikitokea binti amechumbiwa ataenda kuhakiki kwenye 'database' hiyo ili kujiridhisha kuwa mwanaume huyo si mume wa mtu.


kama mwanamme ni muislamu sasa itakuwaje bwana makonda?
sheria za kiislamu zinaruhusu mwanamme kuoa mke zaidi ya mmoja na kabla hujaoa lazima upitishe mtongozo wa nguvu kuliko wa betri ya gari ya mafuta.
 
Nibaki Marekani au nirudi nyumbani Tanzania
 
naisubiria thread ya jikoni na babu shimba ya buyenze na upishi wake wa ugali wa ngano kufuatia mualiko wa ...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…