Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
"Ugonjwa wa Taifa"....Mwanza: Hakuna cha zaidi ya wasiopenda 'ugonjwa wa Taifa'. Panaitwa Rocky City kwasababu, nusu ya ile milima pisi wameibeba nyuma.
Aione Ninge hii....Singida: Damu ya kiarabu ikimix na bantu hutoa kitu 😎 Panaitwa Doha ya bongo pisi zote zinawaka. Beyonce na Kim K chimbuko lao ni hapa.
"Wezere" [emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]Arusha: Wezere za Wameru na rangi ya mitume toka kwa watoto wa kimbulu na iraq? Hapa ndio kwao.
Tuvumiliane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yeah, niliona unaweka vitu nikamkumbuka.
Aliongea kwa upole sana mpendwa.
nzuri,,za weweHabari zenu wakuu