Alisema hana furaha kwa kuwa Liverpool ilikuwa na nafasi nzuri kuliko Chelsea katika maandalizi.”Liverpool ni timu bora, ina wachezaji mahiri, lakini sikuridhishwa na namna mechi yetu ilivyokuwa,” alisema Lampard.
Lampard alisema pamoja na kufungwa, lakini ameridhika na kiwango cha wachezaji wake. Kipa wa Liverpool, Adrian aliokoa kiki ya penalti ya Tammy Abraham.