Hatukucheza vibaya kwa namna walivyopambana, morali na ubora wao. Sitaki kutoa kisingizio, ukweli kulikuwa na tofauti ya maandalizi wenzetu walikuwa na siku mbili zaidi,”alisema Lampard.
Liverpool ilianza ligi kwa kucheza nyumbani dhidi ya Norwich Ijumaa wakati Chelsea ilisafiri kwenda Old Trafford kuivaa Manchester Unite, Jumapili mchana.