Ili kupata faida hizi nyingi za mafuta ya nazi unaweza kuyanywa au kupakaa juu ya ngozi.
Mafuta ya nazi ni moja ya chanzo cha viinilishe mhimu sana mhimu na hivyo kufanya moja ya dawa mbadala mhimu kuwa nayo.
Mafuta ya nazi yanaweza kutumika kuongeza kinga ya mwili, kuzuia matatizo kwenye mfumo wa upumuwaji, kuponya matatizo katika figo, kutibu shinikizo la chini la damu, kupunguza hatari ya kisukari nk
Matumizi ya mara kwa mara ya mafuta ya nazi yanaweza kuongeza umeng’enywaji wa asidi amino, madini, vitamini mhimu na hivyo matumizi yake yanaweza kuboresha muonekano wako kwa ujumla