Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kabisa [emoji23][emoji23]Haha watu wamevurugwa kwa kweli
Salama binti mpole?binti mtaratibu asiye na makuu na mtu..ninafikiri hilo ndilo tunalobaki nalo kutokana na hili, sio kuchacha tu yaishie hapa ... Mvamizi wa harusi, kwa jina lolote wanalomuita, muondoshe katika siku yetu ," alisema Bi Flores. "hawezi kuiba penzi letu