Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Nataka niwe na wewe, nataka tuishi pamoja,nataka tulale pamoja,nataka tuzae watoto....lalalala la lala....Nalala kidogo tutaonana baadae tangu saa nane nipo humu
You rock my worldMichael Jackson
Mtu gani huyo? Wewe si ndiyo umeanza na baiskeli yako? Nilikuwa tu nakuunga mkono. Ukitaniwa jitanie. Karibu Koromije mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]Unautani na mtu humu mkuu
Nimekuelewa mkuu,wengine tuko mbali na hvyo vituMkubwa fela kawasahau ya moto kisa dai,babu tale kaisahau tip top kisa dai. Salaam kamsahau Ay kisa dai
Lakini hata akienda usijali,tupo tuta nani.....Najaribu, atatulia tu...