Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*NAWATAFUTA NDUGU ZANGU UPANDE WA BABA*

Naitwa Nasra Khalfan Masanja Manumbu nipo Dsm nawatafuta ndugu zangu upande wa baba ambao siwafahamu kabisa zaidi ya mdogo wangu aitwae Amina ambaye baba akiwa Zanzibar alioa mwanamke aitwaye Ashura Nyando aliyetokea Mafinga kumzaa na huyu Amina.

Baba alifariki 12.02.1998 tukiwa Zanzibar na baada ya msiba nilirudi Dsm na kumwacha mdogo wangu Amina huko Zanzibar lakini mpaka dakika hii sijawahi kuonana naye.

```Upande wa baba akina Khalfan Masanja Manumbu(Paulo Masanja Manumbu au Baba Regan) kutokea Ibadakuli - Shinyanga na baba alikuwa mkristo na alipokuja alifikia kibaha). Mama yake mzazi aliitwa NSAMAKA

*Mdogo angu Amina na yeyote mwenye kuujua huo ukoo naomba tuwasiliane kupitia 0656 472257* au kupitia email Nasrakhalfan.nk@gmail.com.

TAFADHALI NISAIDIE KUSAMBAZA UJUMBE HUU.

*15.08.2019*

Nsamaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…