Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema kamanda?

Naona umetoka kifungoni tena. Safari hii jitahidi usiende huko tena japo kwa muda. Hata mafisi wakukorofishe namna gani [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Uhuru (wa kweli) ni ghali ati !!!
 
πŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈ

Jizazi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Una mpango wa kuendelea na huo Ukatalunya? Majamaa hayo yamekuingiza ndiko siko. Timu kama Lipuli tu au Yanga iliyochangamka. Yatose hayo majamaa na Ukatalunya wa menyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani, hawa majamaa hata hayakunipeleka huko Katalunya....kuna kimtu flani hivi [emoji36]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…