Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji109][emoji109][emoji109][emoji122][emoji122][emoji122]
 
True the best kuna wakati wadada walimuandama sana mahondaw humu nikadhani watatetereka, but they are still strong. I wish them all the BEST.
Mi naomba tu wakioana watangaze harusi yao humu hata kuchanga tutachanga...

Couples wengi walishajaribu humu tena kwa mbwembwe sana kwa uzinduzi wa kuvutia lakini wakaishia njiani. Hawa bado wanaendelea na sasa wako huru mpaka kuahidiana kutandikana mabao yasiyo na idadi hadharani...

I with them the best too [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…