Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Unamlizaje. Unampa mambo mpaka anaanza kulia ama? Huyu Kasmart kazi anayo tena pevu wallahi...
Kufa gari kufa dereva lets wait and see... hakuna simu kutoka wala simu kuingia...
Unamlizaje. Unampa mambo mpaka anaanza kulia ama? Huyu Kasmart kazi anayo tena pevu wallahi...
Mi niko tayari kushuhudia aisee. Nielekeze tu mlizano uliko [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hahahaha dakika ya 22 ...wupoooo!!! Nishaandaa mparo hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shauri yako umeshamzowesha dudu huyo wiki nzima ndefu sana watakugongea wahuni[emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaha eagerly waiting.
Haki wajigamba kabisa... utapotea humu mwezi mzima tena... hahaha unasahau mapema...