Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha mbavu hukuuu ujue!!

Shukrani sana Aimeen Aimeen! ! Smart911

 
Ni ukweli usiopingika kuwa nyaraka kama vile vyeti ya taaluma, bima, hati za kusafiria, leseni, wosia, vyeti vya ndoa, talaka, mikataba, hati za nyumba na viwanja ni baadhi ya nyaraka zinazotakiwa kutunzwa sana.
 
Kutokana na watu wengi kutofahamu umuhimu wa nyaraka mbalimbali au kutokuzihifadhi vyema, wengi wamejikuta kwenye matatizo makubwa baada ya nyaraka zao muhimu kuharibika au kupotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…