Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salama salimini pia.Siku kwangu poa,kwa upande wako huko imekaje?
I am fine bro.Kila la kheri.Yeah! hope tutamaliza vizuri.
How are u?
😃😃😃Nipo nae mpendwa,kuna comment niliona unamjibu Numbisa kwamba umeniona mahali nampiga mtu vichwa, mpendwa mimi sio mkorofi hivyo.Salama salimini pia.
Natumai haupo na mama hapo 😀 😀 😀 😀
Mpendwa wangu wa milele upo.Yeah! hope tutamaliza vizuri.
How are u?
hahahahahaha,😃😃😃Nipo nae mpendwa,kuna comment niliona unamjibu Numbisa kwamba umeniona mahali nampiga mtu vichwa, mpendwa mimi sio mkorofi hivyo.
Thanks mpendwahahahahahaha,
Najua u mpole.Aisee, mimi mara nyingi nasema vitu kutania tuu.
Hawachi ninayemfahamu ni mpole sana, mkarimu, mkweli, anayejali wenzake, n.k kamwe hawezi kuruka kichwa.
You are a good person.Naamini hakuna aliyeamini kuwa umempiga mtu vichwa mahali.
Wamefunga goli zuri aisee.Hawa Wolves hawa, mmh!
Wamefunga goli zuri aisee.
Thanks mpendwa